Makosa wanayoyafanya hata hayawezi kuhesabika kwa mauaji wanayoyafanya huko.Hawapo kama binaadamu na wala hawafanani na wanyama kwani mnyama anahuruma kuliko hawa.Wanaua na kukojolea maiti wengine wanaua halafu wanakata vidolea eti ukumbusho.Wanabaka mpaka watoto na kuwaua jamani hivi makosa gani unayoyakubali.Wanahasira ndio maana wanasema chochote au kufanya chochote.Hivi wewe waje wanajeshi waingie ktk nyumba yenu halafu wakuulie familia yako yote mpaka watoto utakuaje au utachukuliaje hilo suala.Kwakweli tumuachie mungu ndio atakaetoa hukumu kwasababu wamepewa leseni ya kuua kwahio wameshatoa roho zinafika milioni kwasasa sasa sijui ukichanganya na Iraq idadi itakuja ngapi.Wao tu ndio wanaroho za kuishi kwa raha lakini wengine waishi na hofu wakati wote.
Kama hii ya juzi ya kuua watu 16, vyombo vyao vya habari vinajaraibu na vimefanikiwa tena kudumaza (brainwash) akili za wengi akiwemo Nonda na wengine wengi humu jamvini ya kwamba eti "wameua tu watu 16". Ukweli ni kwamba sio kwamba wameua tu, kitu ambacho wanafanya kila pahala na mara kwa mara katika ardhi za waislamu, bali ni kule "KUCHOMA MOTO MAITI ZA WAISLAMU, KITU AMBACHO NI HARAMU DHIDI YA UISLAMU" ndio kinachokifanya hiki kitendo kuwa
DESECRATION nyengine ya maiti za waislamu. Zaidi ya hivyo ni kwamba, kile kitendo cha kuzichoma moto maiti ni obviously
PREMEDIDATED, na hili waMarekani na mahabithi wenzake wote wanalijua wazi, na hawana ujanja isipokuwa kumu-handover kwa Taliban (sio Karzai) ili ahukumiwe na aadhibiwe. Pengine waliozongwa na kutoyajua haya ni baadhi tu ya wale wasio analyse mambo hapa jamvini, ambao huja na maswali ya ajbau ajabu kama vile wameamka toka kuzimu. Sasa wanachofanya kutumia vyombo vyao vya habari ni kubabaisha ifuatavyo:
1. Wanatangaza kuua tu, na kurudia rudia kuua tu!!! na wanaficha/suppress ukweli wa desecration ya maiti (kuchoma moto) katika juhudi za ku-sugar-coat kina halisi cha uovu wao.
2. Wanatangaza "pre-emptively" kwamba ni kutokana na "mental breakdown". Hii ni "pre-emptively" kuweka kipingamizi dhidi ya premeditation, ambayo ni wazi hapa kutokana na kitendo cha kufikia kuchoma moto maiti, ambayo ni hatua nyengine mbele baada ya kuua ambayo waziwazi lengo lake ni kuongeza machungu kwa loved ones, hii ni premeditated act. Na waMArekani na mahabithi wenzao wanafanya hivi kila wakati na kila mahala.
3. Wanatangaza kwamba ni "rogue soldier" ili kuji-distance wao wenyewe na kujisafisha wakati ukweli ni kwamba hii mentality ni rampant miongoni mwa majeshi yao na hata politician wao behind the scenes. Kama ni rogue, kwanini wamlinde? na inavyosemekana ni kwamba tayari wameshamkimbiza kupitia Kuwait.
Kwa kifupi ni kwamba yule au wale wahalifu ni lazima wawe-handed over kwa Islmaic Emirate of Afghnistan na wahukumiwe na waadhibiwe ipasavyo, kinyume na hivyo, hata wamfanye nini wao wenyewe ni sawa tu na ku-deny haki kwa ndugu na jamaa wa victims, na watu wote wa Afghanistan. Hopefully hili jamvi halitasahau hili na Nonda na wenzake angalau wataamka wataanza kuweka kumbukumbu hivi sasa ili wiki, mwezi, mwaka, miaka, karne na millenium ijayo tusiwe na kazi ya kuwakumbusha au kujibu mwaswali ya kilevilevi au kumtindio-mtindio.