Talented IT fundi natafuta kazi

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
488
535
habari wakuu mimi ni tallented IT fundi natafuta kazi za ufundi wa IT kama kurepair desktop na laptop kurepair printers refilling ink cartiladges etc and i can learn as fast as i can new troubleshooting techniques concerning IT......NO SCHOOLING BACKGROUND I USE ONLY TALENTS.

kwa mwenye ofisi inayodeal na mambo kama hayo na unahitaji mtu wa hivo naomba anipm please......thanks in advance
 
bado sijafanikiwa wakuu.........kwa mwenye nafasi hapa hapa dar napatikana kwa +2555654262419
 
Huwezi kujiita IT wakati hujapita shuleni nenda shule kwanza acha ukanjanja wa mtaanj IT inauwanja mpana
kwani shule ni nini kwa mtizamo wako?mpaka mtu aitwe ameelimika inatakiwa aweje aweje?shule huwa tunafata nini?je ni lazima kujua kila kitu maishani ili ufanikiwe?,au unaweza kuspecialize kwenye kitu kimoja na ukakifanya kwa ufasaha?
 
Back
Top Bottom