Elly Merdy
New Member
- Nov 4, 2018
- 2
- 3
Mimi nahis, tukitaka maendeleo ya nchi kutoka nchin mwetu bila kutegemea misaada ya nje, inatubidi tupange mikakati iliyo bora, watoto wadogo huwa na vipaji vikubwa lakin mfumo wa elimu uliopo, unasababisha vipaji hivyo kudunishwa,.
Watoto inabidi wapewe elimu kulingana na vipaji vyao, inabidi serikali isaporti elimu ya vipaji maalumu, ili kuendeleza taifa letu
Watoto inabidi wapewe elimu kulingana na vipaji vyao, inabidi serikali isaporti elimu ya vipaji maalumu, ili kuendeleza taifa letu