Talaka hutokea msimu wa joto jingi

Talaka hutokea msimu wa joto jingi

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Msimu wa joto na kiangazi una madhara katika mahusiano, hii inasababisha mabadiliko katika mwili wa mwanadamu, ili wanawake wakabiliane na joto kali, huwalazimu kuvaa mavazi mepesi na mafupi, hii huwachanganya wanaume na kuwafanya wasaliti mahusiano yao ya awali.

Lakini pia joto huchochea homoni za mapenzi kwa binadamu na wanyama, wakati wa baridi, wanadamu hutulia na wenza wao ili kupata uhakika wa joto kwa kushare.
 
Kila siku tafiti

Mje mpresent kwa ukamilifu wa tafiti zenu

Kila atakayetaka kutoa takwimu za utafiti usio yakinifu apigwe ban
 
Kama 34% hutokea wakati wa joto, Je asilimia inayobaki hutokea wakati /majira gani? Fafanua ili tuelewe kama kweli wakati wa joto taraka ziko kiwango cha juu au cha chini. Utafiti wako haujakamilika
 
Msimu wa joto na kiangazi una madhara katika mahusiano, hii inasababisha mabadiliko katika mwili wa mwanadamu, ili wanawake wakabiliane na joto kali, huwalazimu kuvaa mavazi mepesi na mafupi, hii huwachanganya wanaume na kuwafanya wasaliti mahusiano yao ya awali.

Lakini pia joto huchochea homoni za mapenzi kwa binadamu na wanyama, wakati wa baridi, wanadamu hutulia na wenza wao ili kupata uhakika wa joto kwa kushare.
Huu ni udaku. No research, no freedom of speech
 
Back
Top Bottom