Fisherscom
JF-Expert Member
- Mar 13, 2008
- 1,763
- 764
Na kwenyewe unataka upige tena mkuu?!Vp hawa branch nao ikoje?

kati yao asilimia 68 wana umri chini ya miaka 34."Asilimia 32 ya wateja ni wanawake na wanaume"
Kwa hiyo asimilia 68 ya wateja ni watu wa jinsia mseto, transgender.
Mi nilisikia huko Kenya kuna kijana mfanyakazi ambaye ni IT nilifutaKampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
IN SUMMARY
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
Dar es Salaam. Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
Imetoa taarifa hiyo leo Jumanne Septemba 17, 2019 na kubainisha kuwa maelezo ya kina kuhusu uamuzi huo yatatolewa hivi karibuni.
Kampuni hiyo inayoendeshwa na teknolojia ambayo kwa sasa inafanya kazi nchini Kenya, Mexico, India na Ufilipino hutoa mikopo ya haraka, na binafsi kwa wakopaji na kuvutia zaidi ya watu milioni 27 duniani.
"Tunakujulisha kuwa kwa sasa TALA haitoi mikopo nchini Tanzania. Tunathamini nafasi ya kukutumikia na tunatamani wateja wetu waaminifu waendelee na mafanikio katika safari yao ya kifedha, "inasomeka taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo.
Akizungumza na Mwananchi kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook, mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Kelly amesema, "Ndio, hatujatoa mikopo tena nchini Tanzania. Kwa bahati mbaya, kwa sababu za kisheria hatuwezi kusambaza habari nyingine yoyote isipokuwa ile iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii.”
Ripoti ya kampuni hiyo mwaka 2018 inaonyesha kuwa katika nchi za Afrika Mashariki asilimia 78 ya mikopo hutumiwa kwa biashara, asilimia 32 ya wateja wake wakiwa wanawake na wanaume, kati yao asilimia 68 wana umri chini ya miaka 34.
Chanzo: Mwananchi

Nilisikia kuwa huko Kenya kuna kijana alikuwa anafanya kazi upande wa IT alifuta data zote sasa sijajua hawakuwa na backupKampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
IN SUMMARY
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
Dar es Salaam. Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
Imetoa taarifa hiyo leo Jumanne Septemba 17, 2019 na kubainisha kuwa maelezo ya kina kuhusu uamuzi huo yatatolewa hivi karibuni.
Kampuni hiyo inayoendeshwa na teknolojia ambayo kwa sasa inafanya kazi nchini Kenya, Mexico, India na Ufilipino hutoa mikopo ya haraka, na binafsi kwa wakopaji na kuvutia zaidi ya watu milioni 27 duniani.
"Tunakujulisha kuwa kwa sasa TALA haitoi mikopo nchini Tanzania. Tunathamini nafasi ya kukutumikia na tunatamani wateja wetu waaminifu waendelee na mafanikio katika safari yao ya kifedha, "inasomeka taarifa iliyotolewa na kampuni hiyo.
Akizungumza na Mwananchi kupitia ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Facebook, mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Kelly amesema, "Ndio, hatujatoa mikopo tena nchini Tanzania. Kwa bahati mbaya, kwa sababu za kisheria hatuwezi kusambaza habari nyingine yoyote isipokuwa ile iliyosambazwa kwenye mtandao wa kijamii.”
Ripoti ya kampuni hiyo mwaka 2018 inaonyesha kuwa katika nchi za Afrika Mashariki asilimia 78 ya mikopo hutumiwa kwa biashara, asilimia 32 ya wateja wake wakiwa wanawake na wanaume, kati yao asilimia 68 wana umri chini ya miaka 34.
Chanzo: Mwananchi
Hela ndogo sana dhamana ya nini?Unamkopesha mbongo bila dhamana kweli
Ulikopa shilling ngapi?Deni lao kuna Muda nilikuwa naota kila mara wamenifata na uku mkoani baada ya kukimbia uko Dar, zile ndoto nyevu sasa ivi zitaisha
Je wamekutumia Jeneza?Nawakubali kwa SMS za vitisho nawapa tano
Wapi hao niwafuate?bado hawa washenzi black
Nipe namba ya sim ya branch mkuuDUUUUUUUUUHHHHH!!!! NAFUUU MLIKUWA MNAPANDISHA RIBA SANA.
NAIPENDA SANA BRANCH
tigo wanatoa kiasi gani?Mimi nakopa kwa tigo pesa tu
UtotoJe wamekutumia Jeneza?