So wanaodaiwa
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasisahau na kosa lingine kutushughulisha na sms zisizo na mpango,ukiingia jf wapo badoo wapo ,bora wale ban tupumue.Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ule mkopo niliokopa na kutishiwa kupelekwa mahakamani kila leo ndio basi tena,Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mimi wamenitumia hiyo msg, wameniambia wana RB yanguDuh ndio maana eanashinda kutwa nzima wananitumia. Visms vya kunitisha maana nilikopa sjamaliza deni. Ndo. Wanataka walipe faini wakat wenyewe kumbe hawapo kiharari imekula kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipa mkuu watakufungaDuh ndio maana eanashinda kutwa nzima wananitumia. Visms vya kunitisha maana nilikopa sjamaliza deni. Ndo. Wanataka walipe faini wakat wenyewe kumbe hawapo kiharari imekula kwao
Sent using Jamii Forums mobile app