Hadi 2015 Afrika Mashariki ilikuwa na ardhi yenye rutuba eka 124,718,000M, kati hizo Kenya imetumia 45.6%, Tanzania 38.6%, Burundi 0.9%, Uganda 13.0% na Rwanda 1.8%. Hii inaonesha bado tuna ardhi yenye rutuba kubwa sana.
Kwanini Tanzania hatuoni haja ya kutenga bajeti ya kutosheleza hata kufikia kutumia ardhi yenye rutuba kwa asilimia 50%?
Ukisoma baadhi ya takwimu mpaka inaleta hasiri na utafikiri hatuna wataalam wenye taarifa kama hizi wakati zinatolewa na waliofanya utafiti.