Takwimu: Vifo vya wanaume ni vingi zaidi kuliko vya wanawake.
Takwimu: Idadi ya wanawake hai ni kubwa zaidi kuliko ya wanaume.
Assumptions: Bro unakufa upo single, unaenda kuzimu unategemea ku-mingle upya,na kule totozi ni chache.
I tell you UTAKUFA SINGLE UKUJE HUKUHUKU[emoji23][emoji1696].