Jack Palladino JF-Expert Member Joined Feb 24, 2018 Posts 7,245 Reaction score 22,555 Apr 30, 2023 #21 Halafu wanamfananisha na mtoto mdogo Baleke!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 33,711 Reaction score 97,545 Apr 30, 2023 #22 Kuna watu leo watakimbia uwanjani, watajuta kutoka Nijeria kuja Tz.
Opaque JF-Expert Member Joined Oct 24, 2008 Posts 1,359 Reaction score 732 Apr 30, 2023 #23 technically said: Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚 Click to expand... Inategemea anacheza mashindano gani. Kama ni shirikisho sawa
technically said: Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚 Click to expand... Inategemea anacheza mashindano gani. Kama ni shirikisho sawa
Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,929 Apr 30, 2023 #24 Wengine hao waliendelea endelea hadi hatua nzuri kwenye klabu bingwa ulaya,ila huyo mwingine alifurumushwa awali kabisa.
Wengine hao waliendelea endelea hadi hatua nzuri kwenye klabu bingwa ulaya,ila huyo mwingine alifurumushwa awali kabisa.