lugoda12 JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 311 Reaction score 644 Jul 8, 2024 #1 Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 17,276 Reaction score 23,568 Jul 8, 2024 #2 lugoda12 said: Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022. Click to expand... Mikoa inayoongoza kwa kunya maporini: Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora, Mara, Bukoba, Mwanza,…
lugoda12 said: Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022. Click to expand... Mikoa inayoongoza kwa kunya maporini: Shinyanga, Simiyu, Geita, Tabora, Mara, Bukoba, Mwanza,…
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,163 Reaction score 18,663 Jul 8, 2024 #3 Aisee, bado tuna safari ndefu Kama nchi, yani on this era of science and technology revolution sisi tunajisifu kujenga vyoo vya kujisaidia wenyewe? Anyways tunaishukuru serikali kwa kuhamasisha ujengaji wa vyoo kwa kila kaya, "nyumba Ni choo" hakika mama anaupiga mwingi.
Aisee, bado tuna safari ndefu Kama nchi, yani on this era of science and technology revolution sisi tunajisifu kujenga vyoo vya kujisaidia wenyewe? Anyways tunaishukuru serikali kwa kuhamasisha ujengaji wa vyoo kwa kila kaya, "nyumba Ni choo" hakika mama anaupiga mwingi.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Jul 8, 2024 #4 unaongelea vyoo gani au nyumba ni choo