Takwimu za CHADEMA toka 1995

We unajua kuangalia average tu, angalia na trend halafu extrapolate.
 

PAMOJA SANA mkuu!!
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

acha u masaburi weka takwimu kama mtoa hoja....
 

PAMOJA SANA mkuu!!
 
2015:
Rais 1; wabunge 250; madiwani 2500.
Pipoooooooozzzzzzz!
 
....Nadhani sasa inaweza kuwa wakati mzuri wa kuandika historia ya chama.....tujue nani na nani walikianzisha....wapi....na lini. Hii itasaidia baadaye kusiwe na historia nyingi tofauti tofauti......
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema

wewe cku zote una mawazo madogo na una uelewa mdogo sana! Kifupi hauna unalolifaham zaidi ya ushabiki?
 
tatizo zote zina migogoro mkuu.. mfano ni mwanza na iliyokuwa arusha mjini, ilemela na moshi ambapo kuna ufisadi wa kujiundia safari hewa kwenda rwanda kutalii ili kujimegea rasilimali za wananchi maskini

Unaeleweka mkuu, Huko kote hatujasikia hata tume ya uchunguzi kuundwa unaongeleaje kule bukoba na Katavi ambako hata tume zinashindwa kutoa majibu? Pia ungetufafanulia kidogo hiyo migogoro kwa nini inatokea na je ni msimamo wa madiwani na wananchi au interest za vyama fulani za DED husika kushindwa kuchukua maamuzi.
 
Bado marudio ya uchaguzi...igunga, sumbawanga na kwingineko.
 
si mchezo.... mambo ya M2C yanaonekana Wanachama wapya, Wabunge wapya, Harakati zinazidi kupamba
moto.
sipati picha 2015, labda magamba wapange matokea kabla....
 
si mchezo.... mambo ya M2C yanaonekana Wanachama wapya, Wabunge wapya, Harakati zinazidi kupamba
moto nk.
sipati picha 2015, labda magamba wapange matokea kabla....
 

Unachosahau ni kuwa uelewa wa wapiga kura unazidi kukua na kwa kasi kubwa!
 

By the way yote ni majibu lakini sio yote ni sahihi. Kwa wale waliojifunza takwimu (statistics) kidogo, haitawapa taabu kujua kuwa "prediction" yako iko mbali na uhalisia. Kaka/dada, "curve" zinaonyesha kuwa CHEDEMA imekuwa ikikuwa "exponentially" na sio "linearly"


Kama itaendelea na kasi hii, itajinyakulia viti vingi vya ubunge na udiwani kuliko vyama vyote vilivyobaki kwa pamoja. Unaweza kujifanyia prediction ya 2015 kwa kutumia formula zinazoonyeshwa kwenye kila chati kujithibitishia. Angalizo, "Statistical/mathematical modelling" sio uhalisia ila uhusianisho wa yale yaliyokwisha kuonekana. i.e Hatuwezi "kupredict" mbali zaidi ya upeo wa takwimu tulizonazo. Predictions beyond available data ingekuwa sahihi, pasinashaka CHADEMA wangepata wabung 311 nad madiwani 2481 kunako uchaguzi wa 2015.
 
Dah siasa ni uongo wenye lana ccm na chadema lao moja kututawala tu.
 
View attachment CDM predictions.bmp

Umeeleza vizuri ndugu,
Kama tukiunganisha mantiki (Logic) na takwimu (statistics), then we assume kwamba namba ya wabunge wa Chadema imekuwa na influence katika katika chaguzi zinazofuata basi kwa kutumia Linear Unterpolation ya data hizo zilizotolewa then inaonekana kuwa katika bunge lijalo idadi ya wabunge wa Chadema inaweza kuongezeka hadi kufikia 313.

[TABLE="width: 401"]
[TR]
[TD] year[/TD]
[TD]members[/TD]
[TD] %[/TD]
[TD] % increase[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]1995[/TD]
[TD] 4[/TD]
[TD="align: right"]100[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2000[/TD]
[TD] 5[/TD]
[TD="align: right"]125[/TD]
[TD="align: right"]25[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2005[/TD]
[TD] 11[/TD]
[TD="align: right"]220[/TD]
[TD="align: right"]120[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2010[/TD]
[TD] 48[/TD]
[TD="align: right"]436[/TD]
[TD="align: right"]336[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]2015[/TD]
[TD] 313[/TD]
[TD="align: right"]652[/TD]
[TD="align: right"]552[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Toa data nccr walikuwa na waBUnge 16 tu chadema 48 wapi na wapi? Chadema imevunja record ya cuf na nccr fikiri chadema inaongoza halmshauri ngapi? NA 2015 TUTAVUNJA YA CCM
 
huku ni kujidanganya.. kawaulize nccr mageuzi, mwaka 1995 walikuwa na wabunge kibao wa kuchaguliwa ambao hakuna chama kilichowahi kufikia hata hii chadema
Usijibu swali la kitakwimu kwa maneno matupu, tueleze wewe unayeijua vzr NCCR mwaka 1995 ilikuwa na wabunge wangap na madiwan wangapi, usiseme tu walikuwa kibao, kibao wangapi???? Trend ya CDM ni upward we gamba na pia chama kinazidi kupokelewa kwa mikono miwili na kinaendesha opareshen maalum vijijin ambako huko nyuma hatukuwah kufika kbs.

In contrast, CCM inazidi kukataliwa mijin na vijijin na serikali yake inazidi kuchemsha kiutendaji huku wizi, dhurma (kupiga watu mabomu wanapodai haki zao), unyang'anyi wa ardh na kuwapa wezi/wawekezaj, ufisadi, huduma mbovu kwa jamii vikizid kutamalaki with no hope of recovery.

Kwa mantiki hii huitaji kuwa political scientist kupredict what will happen in 2015. It is obvious CHADEMA will rise to the top, ukweli huu ni mchungu ila ndivyo ilivyo.
 
CCM au chama kingine? CCM HAITOKI MADARAKANI 2015, kuna kazi yakufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…