Gobole Lenye Risasi JF-Expert Member Joined Oct 31, 2014 Posts 11,507 Reaction score 23,629 Nov 19, 2024 #1 Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1 - 0 Guinea | 2025 AFCON Qualifier | Estadio Benjamin Mkapa | 19.11.2024
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,587 Reaction score 133,205 Nov 19, 2024 #2 Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke
C christeve88 JF-Expert Member Joined Aug 11, 2018 Posts 3,323 Reaction score 5,478 Nov 19, 2024 #3 Mbaga Jr said: Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke Click to expand... Ogopa sana MTz ndug, huwa anaenda na upepo. Ukiifanya vizuri cha kwao ukikosea cha kwako.
Mbaga Jr said: Na hv tumeshinda, mtakuja na kila aina ya uchambuzi ila ingekuwa tumepigwa π Ngoja nicheke Click to expand... Ogopa sana MTz ndug, huwa anaenda na upepo. Ukiifanya vizuri cha kwao ukikosea cha kwako.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 22,339 Reaction score 56,117 Nov 19, 2024 #4 Samatta garasa Yanga wote mabwabwa
Mbuta Likaso JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 5,407 Reaction score 10,547 Nov 19, 2024 #5 mdukuzi said: Samatta garasa Yanga wote mabwabwa Click to expand... πππ€£ Vyura wanakuja kwa speed huko Boss.
mdukuzi said: Samatta garasa Yanga wote mabwabwa Click to expand... πππ€£ Vyura wanakuja kwa speed huko Boss.