samsun
JF-Expert Member
- Feb 9, 2014
- 7,386
- 5,963
Wakuu natumai mko poa kama kawaida.
Leo nataka tupeane baadhi ya takwimu na matukio ya ajabu au ya kawaida yanayohusu magari direct au indirect.
1. Kuna magari zaidi ya bilioni 1 yanayotumika duniani kote kwa sasa.
2. Ajali ya kwanza ya gari ilitokea mwaka 1891 huko Ohio US.
3. Kampuni ya magari ya Volkswagen ndio mmiliki wa baadhi ya magari maarufu na thamani pia ya mwendo kasi zaidi duniani ambayo ni VW,Bentley,Bugatti,Audi, Ducati,porsche na Lamborghini.
4. Ni Marufuku kuendesha gari chafu Russia.
5. 75% Ya magari aina ya Rolls royce bado yanatumika hadi leo.
6. Gari ina vifaa (parts)vinavyofikia wastani wa 30,000.
7. Zaidi ya magari 165,000 uzalishwa (produced) kila siku duniani kote.
8. Mara ya kwanza kutambulishwa kwa ufungaji wa Redio kwenye magari inchi nyingi zilizuia jambo hilo,wakisema litasababisha ajali nyingi.
9. Wakazi wa Los engeles wanamiliki idadi kubwa ya magari kuliko idadi yao.
10. Duniani kote muda mwingi magari huwa yamepaki (95% ya uzima wake) kuliko kutembea.
11. Ni 35% tu duniani ndio wanaendeshea magari upande wa kushoto wa barabara.(moja wapo TZ)
12. Zaidi ya watu 1.25 hufa duniani kote kutokana na ajali za barabarani kwa mwaka.
Haya sasa na wewe ongezea, rekebisha au chochote utakachoona kwako kinafaa kunogesha uzi ruksa.