Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,679
Petro vs mamelodi ilikuwa mchaka mchaka kama ilivyo kwa mtazamo wangu!Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round).
Hakika mzunguko wa kwanza ulikua ni bora sana, wenye mengi ya kuvutia bila kusahau kero za hapa na pale. Nitatoa baadhi ya mifano, tukio lenye kuvutia lilihusisha mechi ya Simba vs Al Ahly, Damn...The game was so good. Mechi iliyopambwa na sherehe za ufunguzi. Ijumaa ilikuwa bora sana.
Tukio kubwa la kukera na lililoleta taswira mbaya katika mashindano basi ni la mchezaji wa Enyimba, Innocent (3) kuandika jina lake kwa kutumia kitu chenye mfano wa chokaa nyeupe au pen, inachekesha
, lakini hii ni aibu kwa Enyimba na Nigeria kwa ujumla.
Turudi kwenye mechi sasa, Simba Sports Club imeonesha kuwa na takwimu bora, sijasema matokeo, TAKWIMU bora zaidi katika mashindano hayo. Narudia tena, Takwimu sio matokeo pekee.
Katika list hii nitweka takwimu zenye muhimu zaidi kama vile idadi ya magoli, Shot on Target, Complete Passes na ufanisi wa pasi(Pass Accuracy).
1. SIMBA SPORTS CLUB.
Complete passes - 546
Pass accuracy - 86%
Shot on Target - 6
Goals- 2
2. MAMELODI SUNDOWNS
Compete passes- 479
Pass Accuracy- 70%
Shot on Target - 3
Goals - 2
3. AL AHLY
Complete Passes- 390
Pass Accuracy - 78%
Shot on Target - 4
Goals - 2
4. ES TUNIS
Complete Passes- 481
Pass Accuracy - 79%
Shot on Goal - 2
Goals - 0
Na list inaendelea, hizo timu zilizobaki namba zao ni au chini ya nne; upande wa on Target, Chini ya 400 passes huku pass accuracy ni chini ya 75% bila kusahau walio score ni goal moja moja. Huku timu nyingine zikitoka bila goal la kufutia machozi.
Ikikumbukwe, nimeangalia mechi zote ila bado mechi iliyoonesha radha na mvuto zaidi basi ni ile mechi ya ufunguzi kati ya Simba na Al Ahly.
Ukitoa kuwa ni mechi ya ufunguzi, ila ni mechi iliyo amsha radha ya AFL huku wengi kutoka mataifa ya Africa(ukitoa Tanzania) wamefurahishwa na performance ya Simba ambaye walihisi ni Underdog katika mechi yenye tukio kubwa kama lile, ila walishangaa ilijitahidi kuonesha maturity ya hali ya juu hata pale baada ya mpinzani wake kupata magoli.
Pia, hata wachezaji wengi wa Timu zinazo shiriki walifanya hii mechi kama ni mzani wa performance zao katika AFL, mfano Nahodha wa ES TUNIS alinukuliwa katika mahojiano akisema, anatamani na watajitahidi mechi yao iwe bora na yenye ushindani kama ile ya Simba Vs Al Ahly. Unaweza ona kwa namna gani mechi iliyokuwa bora.
N.B. Kuna kelele huku mtaani kusema Simba alikuwa afungwe zaidi ya goli tano. Ni kweli kuna clear chance Al Ahly wamekosa, ila kuna mwanadada nampenda alisema "Almost doesn't count" akimaanisha nearly doing something is not the same as actually doing it.
Sawa leo Yanga aje aseme ilibaki kidogo tu nishiriki AFL, why? Sababu .....I don't know, Karia alituombea na sisi tushiriki. Jokes.
Simba inachangamoto zake, Simba inawezatolewa katika mashindano haya, lakini hii haifuti ubora wake aliou-onesha katika huu mzunguko wa Kwanza.
Wewe unajifanya una jua mpira kumbe ni empty brain Mamelodi sundowns wana shot on target 3 goal 2 mbumbumbu mna shot on target 6 goli 2 timu gani hapo ipo serious?Asante sana mkuu Uzi Bora sana Huu natamani Jamii Forum hii.
Umeandika kwa utaalamu WA Hali ya Juu sana.
Nimeandika hapa nikipongeza uwezo Mkubwa WA NGOMA MBAKA SASA sijaona mchezaji Bora kama yeye HASA eneo la kati kati.
Kuna vijana wanapinga biaa sababu zozote za maana
Nenda kanywe panadol...Wewe unajifanya una jua mpira kumbe ni empty brain Mamelodi sundowns wana shot on target 3 goal 2 mbumbumbu mna shot on target 6 goli 2 timu gani hapo ipo serious?
Ihefu walikua hawana short on tagert 2 wana goli mbili..nyie shot on tagert 10 goli moja kilazaaaaaa 🤣 🐸 🐸 🐸 🐸Wewe unajifanya una jua mpira kumbe ni empty brain Mamelodi sundowns wana shot on target 3 goal 2 mbumbumbu mna shot on target 6 goli 2 timu gani hapo ipo serious?
Ile ndio ilikua match bora ajabu timu iliyoruhusu goli 2 nyumbani eti ndio timu bora,wydad na mamelod wameshinda match zao ugenini pasipo kuruhusu goli leo hii makolo wanatuambia awakua bora zaidi yao 😂,mzee rage ajengewe sanamu kwa lile jina aisee 😂P
Petro vs mamelodi ilikuwa mchaka mchaka kama ilivyo kwa mtazamo wangu!
Ituume while mmeruhusu goli 2 kwenu mnajitoa data kama hamjui mashindano haya yana faida ya goli la ugenini,au makolo mnajua mko group stage 😂😂,hii ni knockout nyie makoloUkweli mchungu..ma Uto ya upande wa pili inawauma mnoooo...
Nyie vilaza/msio na akili mnaumia mkiwa wapi?? Subirini Simba kesho ikawashangaze...Ituume while mmeruhusu goli 2 kwenu mnajitoa data kama hamjui mashindano haya yana faida ya goli la ugenini,au makolo mnajua mko group stage 😂😂,hii ni knockout nyie makolo
Sawa dakitari wa MloganzilaNenda kanywe panadol...
Sio kosa lakoIhefu walikua hawana short on tagert 2 wana goli mbili..nyie shot on tagert 10 goli moja kilazaaaaaa [emoji1787] [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196]
Source ya hizi takwimu ni wapi nasi tukazipitie? Ni CAF au ni wapi?Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round).
Hakika mzunguko wa kwanza ulikua ni bora sana, wenye mengi ya kuvutia bila kusahau kero za hapa na pale. Nitatoa baadhi ya mifano, tukio lenye kuvutia lilihusisha mechi ya Simba vs Al Ahly, Damn...The game was so good. Mechi iliyopambwa na sherehe za ufunguzi. Ijumaa ilikuwa bora sana.
Tukio kubwa la kukera na lililoleta taswira mbaya katika mashindano basi ni la mchezaji wa Enyimba, Innocent (3) kuandika jina lake kwa kutumia kitu chenye mfano wa chokaa nyeupe au pen, inachekesha
, lakini hii ni aibu kwa Enyimba na Nigeria kwa ujumla.
Turudi kwenye mechi sasa, Simba Sports Club imeonesha kuwa na takwimu bora, sijasema matokeo, TAKWIMU bora zaidi katika mashindano hayo. Narudia tena, Takwimu sio matokeo pekee.
Katika list hii nitaweka takwimu zenye umuhimu zaidi kama vile idadi ya magoli, Shot on Target, Complete Passes na ufanisi wa pasi(Pass Accuracy).
1. SIMBA SPORTS CLUB.
Complete passes - 546
Pass accuracy - 86%
Shot on Target - 6
Goals- 2
2. MAMELODI SUNDOWNS
Compete passes- 479
Pass Accuracy- 70%
Shot on Target - 3
Goals - 2
3. AL AHLY
Complete Passes- 390
Pass Accuracy - 78%
Shot on Target - 4
Goals - 2
4. ES TUNIS
Complete Passes- 481
Pass Accuracy - 79%
Shot on Goal - 2
Goals - 0
Na list inaendelea, hizo timu zilizobaki namba zao ni au chini ya nne; upande wa on Target, Chini ya 400 passes huku pass accuracy ni chini ya 75% bila kusahau walio score ni goal moja moja. Huku timu nyingine zikitoka bila goal la kufutia machozi.
Ikikumbukwe, nimeangalia mechi zote ila bado mechi iliyoonesha radha na mvuto zaidi basi ni ile mechi ya ufunguzi kati ya Simba na Al Ahly.
Ukitoa kuwa ni mechi ya ufunguzi, ila ni mechi iliyo amsha radha ya AFL huku wengi kutoka mataifa ya Africa(ukitoa Tanzania) wamefurahishwa na performance ya Simba ambaye walihisi ni Underdog katika mechi yenye tukio kubwa kama lile, ila walishangaa ilijitahidi kuonesha maturity ya hali ya juu hata pale baada ya mpinzani wake kupata magoli.
Pia, hata wachezaji wengi wa Timu zinazo shiriki walifanya hii mechi kama ni mzani wa performance zao katika AFL, mfano Nahodha wa ES TUNIS alinukuliwa katika mahojiano akisema, anatamani na watajitahidi mechi yao iwe bora na yenye ushindani kama ile ya Simba Vs Al Ahly. Unaweza ona kwa namna gani mechi iliyokuwa bora.
N.B. Kuna kelele huku mtaani kusema Simba alikuwa afungwe zaidi ya goli tano. Ni kweli kuna clear chance Al Ahly wamekosa, ila kuna mwanadada nampenda alisema "Almost doesn't count" akimaanisha nearly doing something is not the same as actually doing it.
Sawa leo Yanga aje aseme ilibaki kidogo tu nishiriki AFL, why? Sababu .....I don't know, Karia alituombea na sisi tushiriki. Jokes.
Simba inachangamoto zake, Simba inawezatolewa katika mashindano haya, lakini hii haifuti ubora wake aliou-onesha katika huu mzunguko wa Kwanza.
Madam,Nenda kanywe panadol...
ukiwa period ndio unatumia? seems unazijua vizuriMadam,
Panadol inaweza kuchelewesha maumivu yake kupoa.
Anywe ACTION..