TAKUKURU yetu katika ubora wao

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
715
681
Thadeo Paulo
Jinsia Me
Kazi Anayofanya Afisa Mtendaji wa Kijiji
Mkoa/Wilaya KAGERA/BIHARAMULO
Uraia Mtanzania
Mwaka wa Kuzaliwa 1965
Namba ya Kitambulisho
Namba ya Jalada
PCCB/KGR/ENQ/03/2015
Namba ya Kesi CC.25/2015
Maelezo ya Kosa Kuomba hongo TSHS 10,000/= ili aandike barua ya uthibitisho kwa mmiliki wa pikipiki aliyekuwa amepoteza kadi ya pikipiki ili aweze kupata kadi mpya TRA walihitaji uthibitisho huo.
Kifungu cha Sheria K/F 15 PCCA NO 11/2007
Jina la Mahakama MAHAKAMA YA WILAYA - BIHARAMULO
Tarehe ya Hukumu 17.12.2015
Adhabu iliyotolewa Kulipa faini ya TSHS. 500,000/= au mwaka mmoja jela
 
Hivi lake oil wameshatekeleza amri iliyotolewa ya kulipa kodi na takukuru.
 
Back
Top Bottom