- Thread starter
- #21
Natamani nipate kazi ya ku-clean data za bvr, zitatangazwa lini?
Mkuu hembu funguka kidogo,huwa kuna siri gani?!!
Natamani nipate kazi ya ku-clean data za bvr, zitatangazwa lini?
Nafikiri hapa wa kukamatwa ni pamoja na viongozi wa TFF maana ndiyo waliruhusu hiyo rushwa ya wazi na kuitangaza kwa kuipaka maguta. Ikumbukwe pia walijaribu kutoa hongo hiyo mara baada ya uteuzi wa mgombea wa CCM kwenye michezo ya Kombe la Kagame. Bahati nzuri kuna watu wa hekima waliwashauri vyema.Tukuulize kama umesoma vema ujumbe?
Kosa la RUSHWA wakati wa uchaguzi
Kwani jana ndio mara ya kwanza stars kucheza na timu za nje? Kama FISI WENU walikuwa na nia ya kufadhili watazamaji kwanini wangoje mpakA kipindi cha uchaguzi? Ni rushwa, rushwa, rushwa!
Akamatwe mara moja kwa kosa la RUSHWA!
Naona ujumbe wako umeishia njiani hujasema kwanini ashtakiwe na kosa lipi au unadhani wote waliopo humu ni wapenzi wa mpira au wote walikuwepo taifa jana au walifuatilia matangazo ya mpira wa jana.
Usiache dhamira njiani........
Nafukua tu kaburiJamaa alifanya jambo baya sana linaloashiria kuwashawishi wananchi wawapigie CCM kura
Nafukua tu kaburi

Haisaidii kitu chief Memento !Nafukua tu kaburi