Au mnataka nije nijenge jengo kubwa zaidi ya hili hapo nje kwa shilingi milioni sitini..!!??Hili ndo jengo la makao makuu takukuru?..!!
Hii hata tajiri mtoto Kiduku Lilo hawezi kulaza wafanyakazi wake wa nyumbani maana ni ndogo na ya gharama ya kiwango cha barabara ya vumbi.Hili ndo jengo la makao makuu takukuru?..!!
Nahisi leo huyu anatumbuliwaHii hata tajiri mtoto Kiduku Lilo hawezi kulaza wafanyakazi wake wa nyumbani maana ni ndogo na ya gharama ya kiwango cha barabara ya vumbi.
Tena unamwalika bosi wako aje kuzindua hili banda kweli??!!
Kutumbuliwa kwingine watu wanajitakia.
Tuweke ushabiki pembeni, magufuli ana mapungufu yake kama binadamu lkn ukiitazama speech ya leo utagundua huyu jamaa yuko vizuri, kuanzia dhamira yake na hata uwezo wake wa kukemea mambo ya kipumbavu kwa baadhi ya watendaji wake.