Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,410
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imemfikisha Mahakamani mtumishi wa kituo cha mizani cha Mpemba kilichopo katika halmashauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kwa kosa la kuomba na kupokea rushwa ya shilingi laki moja kwa dereva wa lori aliyekuwa amezidisha mzigo kwenye gari yake ili kukwepa kumchukulia sheria.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV