TAKUKURU msaidieni Rais Samia kazi

TAKUKURU msaidieni Rais Samia kazi

songo mwene

Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
91
Reaction score
101
Hivi ni nini majukumu ya Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa ya kila siku?

Inashangaza kuona kila anapopita Mheshimiwa Waziri mkuu au Mheshimiwa Rais kubaini ubadhirifu wa fedha za serikali na kuagizwa Taasisi hiyo kufanya uchunguzi,

Inaonyesha ni jinsi gani chombo hicho mhimu kinashindwa kufanya majukumu kwa wakati, inamaana bila uwepo wa ziara za viongozi wakuu TAKUKURU hawawezi kufanya lolote mpaka waagizwe kwa kweli inatia hasira Sana.

Zipo ripoti za CAG zinazoonyesha ubadhirifu wa fedha katika sekta mbalimbali, zifanyieni kazi watuhumiwa wafikishwe mahakamani.

#kaziIendelee
 
Ufutwe tu ,yule polis pale juu hamna kitu

USSR
 
Nafikiri kila anapopita PM probably anapata taarifa ambazo anazifikisha kwa Rais, then ikimpendeza Rais anaenda kufanya yake kwasababu yeye ndie aliye wateua
 
Unazungumzia takukuru ipi mkuu. Hiii tunayoijua au ya karne 100000000 zijazo?
 
Back
Top Bottom