TAKUKURU: Askofu na Viongozi Wakuu wa Kanisa la Avengelical assembless of God (EAGT) wachungunzwa kwa rushwa

Kulola alijua kuwanyonya wote. Toka afe kila mmoja anataka ALE keki. Kulola alikula peke yake na akajua kuwatawala kisawa sawa.
Yule hakuwa mwizi, labda tuhuma anayoweza kurushiwa ni kuwalea hawa wezi.
 
Nyakati saba za kani zinaongea, kwamacho yenu mtaliona kanisa likiondoka lenyewe katika ulingo wa dini kwani hawa ndiyo wanaomwakilisha Yesu yule kijana wa kizungu mwenye macho ya bluu kutoka Nazareti.
Kwani viongozi wa Mungu kuwa wezi, mafisadi, wakwepa kodi hii sijui kwani Yesu na mambo yake yote alipeleka sadaka kwa Kaisalia.
 
Uko sahihi bro yaani the devil ana bonge la tabasam kwa bifu alillianzisha. Mi naona walioamua kuhama TAG walimfungulia mlango ibilisi. Wangemwachia Mungu tu kila kitu kingekuwa wazi.
 
Lakini umeshindwa kusaidia kuunyosha huu mjadala. Na nina uhakika sitakuwa nimekosea nikiandika hapa kuwa wewe huyafahamu vizuri haya mambo!
Unaweza kumzuia ndege kuweka kiota juu ya kichwa chako,lakini huwezi mzuia kuruka juu ya kichwa chako. So nadhani una haki ya kuamini hivyo na mimi nina haki ya kukuruhusu uamini unacho amini.
 
Unaweza kumzuia ndege kuweka kiota juu ya kichwa chako,lakini huwezi mzuia kuruka juu ya kichwa chako. So nadhani una haki ya kuamini hivyo na mimi nina haki ya kukuruhusu uamini unacho amini.
Umeshindwa kujibu maswali niliyokuuliza. hata suala la majengo ni wazi kwamba hujui mambo mengi. Brother, usitishwe na tuhuma. kale kakikundi ka wachungaji ni wahuni tu, wote wahuni wale unaposema baadhi yao mimi nabaki kushangaa tu. Wale ni wahuni tupu!
 
Well said mkuu!
 
Umenikumbusha padri kimaro na kivulana
Pia kanisa Safi lilivyookoa maisha huko rwanda
 
Wasukuma sijui wana shida gani na masuala ya elimu; mwaka 2006 nilikua Mwanza, mwaka 2005 walifanya uchaguzi wa viongozi wao wa jimbo, walimchagua mzee mmoja hivi anaishi mitaa ya Bugando, simkumbuki jina lake but nadhani yule mzee ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, ni kabila moja na mwl Nyerere if i am not mistaken, kuna mchungaji mmoja alikua anapiga friend match na wadada, huyu askofu akamuwajibisha; huyo mchungaji nae alikua msukuma but kabla ya hiyo adhabu kutolewa, huyo Mzanaki wa watu alikua amewajengea imani wachungaji wenzie kwamba lazima tujenge shule ya sekondari sisi kama jimbo, wakanunua kiwanja mitaa ya Buhongwa kule; baada sasa kumuwajibisha huyu mchungaji ambaye alikua anazini zini hovyo na wanawake, Wasukuma wenzie wakamshtaki kwa mzee Kulola, mzee kulola sijui alidanganywa nini kumuhusu huyu Mzanaki, mzee akamnyang'anya uongozi, Mwanza ikazimika; nakumbuka walifanyaga mkutano pale Furahisha, Mzee Kulola ndio muhubiri, mkutano ulikua mgumu sana, makanisa yalikua yana mtazamo tofauti juu ya hatua alizozichukua mzee Kulola dhidi ya yule Mzanaki wa watu; mwishoni yule mchungaji aliyetengwa akakutwa kaachana kabisa na mambo ya Imani, but moja kati ya shutuma alizopewa huyu Mzanaki ni kwamba eti anaachangisha ili wajenge shule, mradi wa shule ukafia hapo; nashangaa tena wamewashtaki kina Mwakipesile kwa issue ya shule tena; Wasukuma mna aleji na ELIMU!?
 
Alianza lini? Si ni baada ya yeye kuambiwa akae pembeni kwa shutuma alizokua nazo? Hivi hizi issues za magari, unajua kwamba Mahene alipeleka mahakani na akashindwa kuthibitisha? Mwakipesile alileta ushahidi wake na huyu jamaa nae pia, mwishoni TRA hawakuoan tatizo. Nisingependa kueleza yaliotokea mahakamani cause nitamzalilisha sana mzee Mahene, jambo ambalo silipendi sana. Hivi unajua hao watu walikwenda hadi kwa waziri wa mambo ya ndani na huko wakaomba waruhuiswe kusajiri dhehebu lao? Hujui mengi kuwahusu hao wazinzi mkuu. Nawafahamu mmoja mmoja, kuanzia Geita hadi Dodoma huko, MWanza ndio usiseme; wakati Mahene kasimamishwa unajua pia tena alifumaniwa na mke wa mtu na akalipa laki 6??? Mahene ndio man of this match, sio msafi, hafai kua hata shemasi, achilia mbali uchungaji na uaskofu, by the way yeye mwenyewe aliridhia kuachia hadi uchungaji kwenye kikao chao, alikuja badirika baada ya kufika Mwanza na hasa baada ya yeye kuonana na mchungaji mmoja ameoa binti yake, huyu mchungaji tayari hadi kanisa kaliachia yeye mwenyewe na mzee Mutashi yule gwiji wa usalama wa taifa ndio analichunga kwasasa; una jingine mkuu!?
 
Bro n ndio "chekeo" ,linaanza ili ibaki " cream" si alisema " magugu yaachwe" kuna magugu kibao na mbegu safi zipo pia. Filtering itaanzia hapa hapa duniani yaani watu wooooote watajua huyu anasema yuko hivi kumbe tapeli na huyu kweli mtu wa Mungu.

We tulia subiri mwisho wa movie.
 
Acha hadithi za alinacha naomba unipe ushahidi mimi nimekuahidi ushahidi ninao.
Mutashi anachunga kanisa gani?. Acha kudanganya wasio jua nani mchg Bugando.
Naomba hukumu ambayo mahene alishindwa, tuonyeshe umma yako na ya kwangu ipi sahihi? Jaji gani alihukumu.
Acheni kudanganya watu waambieni ukweli.
 
Kwanza kwa mtu aliye na Common sense atajua kuwa unaokota taarifa usizojua au unapewa hadithi na kisha una fabricate.
Utaandikaje eti" mzee mmoja unayedhani ni mzanaki"? Kwa nini huja research taarifa yako ukajua jina na unaandika nini. Huo ndio watu wazima wana uita uzushi.
 
BAKWATA = CCM
 
Mkuu tafadhali naomba unitajie hao wahusika hasa katika mgogoro huu na kwasasa una taswira gani
 
Anaitwa Kuguru; nimeulizia watu wa Mwanza. Sema lingine
 
Umepaniki bro haa ha ha ha; tusubiri majibu ya TAKUKURU
 
Inasemekana tunapata taarifa mtu anayoipata mara nyingi ni maamuzi ya mtu mwingine kuamua

Sent from my SM-G925F using JamiiForums mobile app
 

Ukome, ukome na ukome kumwita "muasi" mtu aliyepakwa mafuta na Mungu. Who are you to judge the man of God? Wewe umepeleka nafsi gani kwa Kristo Yesu? Who gives you audacity to speak evil against the anointed of God if not the devil himself? Repent!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…