Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 749
- 1,797
Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi milioni 43 za wanakikundi cha imani group kilichopo Sombetini jijini Arusha baada ya fedha hizo kupotea katika mazingira ya utata.
Akiongea na vyombo vya habari Mkuu was Takukuru mkoani Arusha,Frida Wikes amesema kuwa fedha tasilimu zilizokabidhiwa kwa wanakikundi hao ni sh,Milioni 23 huku kiasi kingine kilichobaki baadhi ya wanakikundi hawajakabidhi fedha hizo.
Fedha hizo zimelipwa kutoka kwa mhasibu wa kikundi hicho Halima Mwidadi ambaye alikuwa mtunza hazina na kwamba awali aliwaeleza wanakikundi wenzake kuwa fedha hizo zimepotea kimazingara kwa kuchukuliwa na chuma ulete
Wengine waliodaiwa kuhusika na upotevu wa fedha hizo ni miongoni mwa wanakikundi saba waliokuwa wanashikilia funguo ambao wanapaswa kulipa kila mmoja sh,milioni 2.5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma

Arusha: TAKUKURU yamtia mbaroni muweka hazina wa kikundi aliyedai fedha zimepotea kishirikina
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inamshikilia Mweka Hazina wa Kikundi cha Ujasiriamali cha Imani kwa tuhuma za kula Tsh. Million 39 za Wanakikundi na kudai zimeyeyuka kishirikina Wanakikundi 28 juzi walikesha wakilia nyumbami kwa muweka hazina huyo, Halima Mwidadi, Mkazi wa...
www.jamiiforums.com
Hela za vikoba za kikundi zayeyuka kichawi kwenye sanduku nyumbani kwa muweka hazina
Sherehe za kugawana faida katika kikundi cha ujasiriamali cha ‘IMANI’ chenye Makao Makuu yake Ngusero Arusha, zimegeuka majanga na vilio kwa Wanachama na wengine kuzimia ghafla ukumbini baada ya taarifa ya upotevu wa Tsh. Million 39 zinazodaiwa kuyeyuka kwa njia za ushirikina . _ Fedha hizo...
www.jamiiforums.com