Takriban 70 wauawa na mafuriko China

Takriban 70 wauawa na mafuriko China

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,427
160704124703_china_floods_640x360_getty.jpg
Y
Mvua kubwa imesababisha vifo vya takriban watu 70 nchini China na kuwalazimu mamia ya wengine kuhama makwao.

Maelfu ya nyumba nzo zimeporomoka. Viwango vya maji katika bwagwa kubwa zaidi nchini humo vimepanda na kufikia mita 164.

Mikoa ya Hubei, Liaoning, Hebei na Henan yote imeathirika vibaya na hali hiyo mbaya ya hewa
 
Back
Top Bottom