Take Shower Together

Spear

JF-Expert Member
Jun 21, 2008
507
28
Hebu toweni fikra zenu juu ya jambo hili la kukoga na mpezi wako mnaliangalia katika mtazamo wa aina gani ?
 
kama ni mumeo/mkeo mmhh
au partner wako wa muda safi sana

au unataka kujua nini zaidi??
 
afrodenzi;
kama ni mumeo/mkeo mmhh
au partner wako wa muda safi sana

au unataka kujua nini zaidi??

mbona mguno hapo?
 
..ndo manake babu...kukoga na kuoga pamoja rrrahaaaaaaaaaaaaa ...LAKIN AFUMBE MACHO ASINICHUNGULIE tu..:dance:!!!!!!!
 
ki ukweli kama kuna mambo ambayo mie nashauri wanandoa kufanya kwa pamoja ni pamoja na hili la kuoga pamoja,,,,, faida ni nyingi
1,linaongeza upendo
2,usafi wa kweli kwa kila mtu unafanyika kwani unaposhindwa kufikisha mikono mwenzio anakusaidia
3,mwenzio anaweza kuona sehemu ambayo haijafikwa na maji...ukizingatia maji ya dar ya kupimiana..........huwa naoga litre kama 20 lkn bado wakati mwingine nabakiwa na povu sikioni lkn ange
 
mmh, shida yote hiyo ya kujitakia ya nini?..................imagine mpaka nitakate mwili ntakuwa nimeteseka kiasi gani?............... aaai, tukutane tu chumbani bana..................
 
Yeah...tena unamwambia akunyoe na kufyeka Bush yote anakwetua hadi zile goroli!!! kama hari mbaya mnamaliza kabisa loh!! raha sana kuosha boobs za wife!!unayashika mikono miwili unapaka paka sabuni aisee!! ngoja nimpigie wife lunch time tukaoge pale hata hotelini loh!!na sijui kama nitarudi tena kazini.JF wachokozi sana
 
Mbona hiyo ni sawa na kawaida tu ,mnaweza hata kuendelea na mengineyo...na inakuwa powa sana
 
Yeah...tena unamwambia akunyoe na kufyeka Bush yote anakwetua hadi zile goroli!!! kama hari mbaya mnamaliza kabisa loh!! raha sana kuosha boobs za wife!!unayashika mikono miwili unapaka paka sabuni aisee!! ngoja nimpigie wife lunch time tukaoge pale hata hotelini loh!!na sijui kama nitarudi tena kazini.JF wachokozi sana

Ulivyosound! kama unajifurahisha kwa n...o!
 
jamani eehhh, kuna wengine wapo nyumba za kupanga af wanaingia bafuni wanafanya ndo sehemu ya kupigia stori..yani mtu na mkewe wanaenda kuoga af wanakaa humo wanaongea weee mpaka basi yani kero kwa wengine.
ingieni bafuni muoge, mchezeane kidogo mtoke sio mfanye ndo sebule alaa!
 
mmhhh,mimi siwezi kuoga bila wife nikiwa home, na yeye pia!! master bedroom ni self contained so sometime za kichinachina huko huko
 
ki ukweli kama kuna mambo ambayo mie nashauri wanandoa kufanya kwa pamoja ni pamoja na hili la kuoga pamoja,,,,, faida ni nyingi
1,linaongeza upendo
2,usafi wa kweli kwa kila mtu unafanyika kwani unaposhindwa kufikisha mikono mwenzio anakusaidia
3,mwenzio anaweza kuona sehemu ambayo haijafikwa na maji...ukizingatia maji ya dar ya kupimiana..........huwa naoga litre kama 20 lkn bado wakati mwingine nabakiwa na povu sikioni lkn ange

You have got it all right!
Kama nilikuwepo vile?
 
Back
Top Bottom