Take home crdb!

Kenge Kichuma

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
5
Reaction score
1
Wadau naomba mnijuze anayefahamu take hme ya CRDB Bank post ya Teller! Nmeitwa kwenye intvw! Ahsanten sna!
 
wadau naomba mnijuze anayefahamu take hme ya crdb bank post ya teller! Nmeitwa kwenye intvw! Ahsanten sna!

yaan hata usaili hujafanya unaanza kuulizia kiwango cha mshahara badala ya kujiandaa na jinsi ya kujibu maswali? Kazi ipo.
 
jitahidi ulijue hilo maana unaweza ukafika huko ukaulizwa unategemea kulipwa sh.ngapi
Wadau naomba mnijuze anayefahamu take hme ya CRDB Bank post ya Teller! Nmeitwa kwenye intvw! Ahsanten sna!
 
Mishaara ya bank tellers btn 450 mpaka 600.

Cc: charles kimei
 
Acheni Kutuvua nguo!!!!!!!!! We nenda bei utayopewa itakutoshaaa! Alaaaaaaaah!
 
yaan hata usaili hujafanya unaanza kuulizia kiwango cha mshahara badala ya kujiandaa na jinsi ya kujibu maswali? Kazi ipo.

Wewe wa wapi hujui kwenye interview utaulizwa unataka kulipwa sh ngapi?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…