Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Ifunda the glorious technical school live long forever, with our motto, skills and efficience, we shall build, our national strong, and our school, shall shine forever, more ooohh God bless our school......... YAANI NAKUMBUKA YENGU LA IFUNDAMliosoma shule za BWENI mkiiona hii picha mnakumbuka WAPI na LINI.??
eeh hakuna wa kumzengea mwenzake ni kupigika tu some kind of armyNa ukizingatia shule yenyewe ni boys tupu au girls tupu ndo kabisa.
kha umesoma ashira girls wewe kha my school mate as weel mimi ni 2003 leaver and i was a prefect as welll kama ulikuwepo miaka hiyo utakuwa unanijua vizuri snanakumbuka ashira siku ya j5 mchana
kha umesoma ashira girls wewe kha my school mate as weel mimi ni 2003 leaver and i was a prefect as welll kama ulikuwepo miaka hiyo utakuwa unanijua vizuri sna
Teh teh teh KUMBE weye naye ulikua "MENDE"....bwiru
girls
aisee,
hakuna
chakula
nilichokua
nakipenda
kama
hiki.
Mkuu na weye ni wa TECH..dah aisee mie nimesoma BWIRU BOYS TECH bana...maisha yetu yanafanana sana...Shule unapiga msuli kama unataka kufiapo aisee...Chezeya msuli wa CIVIL weye.....Ifunda the glorious technical school live long forever, with our motto, skills and efficience, we shall build, our national strong, and our school, shall shine forever, more ooohh God bless our school......... YAANI NAKUMBUKA YENGU LA IFUNDA
Hizo KAYAMBA ndio ile mobakuli unamix NGUNA na BEANS humo humo mkuu..we use to call em KAYAMBA,yale mabakuli makubwa lol,kuna siku watu walikuta panya kwenye kande
it was uncomfortable
Mliosoma shule za BWENI mkiiona hii picha mnakumbuka WAPI na LINI.??
we use to call em KAYAMBA,yale mabakuli makubwa lol,kuna siku watu walikuta panya kwenye kande
it was uncomfortable
Dah mkuu umenikumbusha enzi zile sie tulikua tunakaanga mafuta tuna mix na vitunguu tunayahifadhi..ikifika jioni muda wa beans unatumbukiza kijiko kimoja yaani wanakutamanijee bweni zima....hapo ukitoa SOCIAL PREFECT na HP weye ndio mjanja shule nzima...Enzi za nguna sio!namkumbuka dogo mmoja alikuwa anakuja na dagaa wa kukaanga basi ukichukua dagaa mmoja tu ukamtia kwenye ndondo,ndondo lote linakuwa na ladha ya ajabu....nguna hata liweje lazima liishe.hizo ni pade za tky
Nope..huyu jamaa mpishi mmoja shule moja ya BOYS pale kanda ya ziwa....Huyu mpishi wa mj pale kwa br.lyimo
..asigwa plz confirm dis
Teh mkuu enzi hizo mambo ya EMO au TMO..hakuna cha tigo pesa wala Mpesa///duuh asante kwa kutukumbusha those gud dayz pesa ikiisha unaandika barua tu! mh makande meupe na mafuta ya taa kdg basi mambo yanaenda tu na watu wanachana vilevile
Mkuu mkorogo wake ndio huo huo yaan hayo mafuta yanakaangwa na dagaa plus vitunguu maji and then yanachujwa yanabaki mafuta tupu.Sasa tia kijiko kimja tu kwenye ndondo!ndondo linakuwa kama kuku.Yule dogo alikuwa anaheshimiwa dom nzima ila sis sometimes tulikuwa tunatumia ubabe kupata huduma yake.tukuyu mbyDah mkuu umenikumbusha enzi zile sie tulikua tunakaanga mafuta tuna mix na vitunguu tunayahifadhi..ikifika jioni muda wa beans unatumbukiza kijiko kimoja yaani wanakutamanijee bweni zima....hapo ukitoa SOCIAL PREFECT na HP weye ndio mjanja shule nzima...