Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 714
Nna kazi yangu ina kipato kizuri tu, nna nyumba na gari moja ya kutembeleaKabla hujatutaka kujadili utajiri wa mtu em tueleze kwanza wewe unamiliki nini?vya mtu havikuhusu anza wewe kwanza tukujadili.
Mengi alikuwa na Range rover ngapi? Tuanzie hapo kwanza..Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Pengine yawezekana ikawa ni hivyoUnataka tuseme anauza ngada?
Nadhani moja tuMengi alikuwa na Range rover ngapi? Tuanzie hapo kwanza..
Hahaha Wabongo bwana!!! Hawa akina Muzamil ni Matajiri wa zamani Sana ZanzibarPengine yawezekana ikawa ni hivyo
Weka Picha angalao tuamini maana Bundi huwa wanamaisha magumu sana.Nna kazi yangu ina kipato kizuri tu, nna nyumba na gari moja ya kutembelea
Enhee mkuu nimekumbuka, ivi ulishatoka porini kwenye kuvuna ma mipunga ?Unataka tuseme anauza ngada?
Afu znz huwa hakunaga tabia za kushobokea watu...Hahaha Wabongo bwana!!! Hawa akina Muzamil ni Matajiri wa zamani Sana Zanzibar
hawa ni wafanya Biashara Wakubwa kama akina, Bakharesa,.. nk, Upande wa pili wa Mungano ndio mnawajua akina Muzamil leo, lakini Wazanzibari wanawajua hao jamaa siku nyingi sana
Tafuta pesa chalii, achana na life za watu!Wanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Kama ushafika Z"bar basi hilo jina tu la Muzzamil sio geni sababu ni miongoni mwa matajiri wakubwa na huyo ni mtoto wake MuzzamilWanaomjua huyu dogo wa zanzibar ,rafk mkubwa wa diamond platinum, chanzo cha utajiri wake ni nini ? Maana naona sio wa ki spoti spoti yuko heavy sana uyu dogo, ma range rover ya kutosha na mansion na madiko diko kibao
Nenda na wewe kawe acheni watu wale maisha yao HIVI WABONGO tutabadilika lini...ukiona mwenzio anakidh mahitaji yake kwa njia yoyote ile muache na wewe ukiona umebanwa sana tafuta njia yoyote ukidhi mahitaji yako ili watoto wazazi wasife njaa...mtaftaji jasiri na anaetambuwa uwepo wake katika majukumu yake kwenye family au ukoo wake yupo dhari yeye ata afe aachie watoto au wazazi wake wasiwe na msongo wa mawazo....Hivi mnajiona ni watoto wakiume kweli kuanza kusema mwenzio sijui muuza madawa sijui freemason ili hali unamuona anafanikiwa...wewe kufa na njaa yako acha wanaume wadhubutu kwani hela ya madawa inafanya kazi gani mtaani ni kukidh mahitaji na matwakwa ya familia au koo yako .....Ni hayo tuHuyo dogo ni kula kulala anatoka kwenye familia ya wakwepa kodi wakubwa pale Zanzibar inaitwa Muzammil wana maduka ya electronics na nguo pia ni familia inayohusishwa na bumbwi