Huvaliwa na wanawake wa hadhi ya kifalme, mke wa mfalme, malkia, bint mafalme au mkwe. Taji huvaliwa baada ya saa 12:00 jioni. Kabla ya hapo kichwa hufunikwa kwa kofia (hat) kama kuna uhitaji. Maana ya kuvaa taji ni kuonyesha umma kuwa mwanamke ameolewa. Binti mfalme hawezi kuvaa taji kabla hajaolewa.