Taja zao unalovuna, mahali ulipo na bei yake

Taja zao unalovuna, mahali ulipo na bei yake

rettyy

Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
73
Reaction score
37
Tuwambie wapi ulipo unavuna nn au wanavuna zao gan kama wewe si mkulima na bei yake. Thread itakua endlevu.Karibuni!

Naanza Mkoa wa Mtwara hapa zao linalovunwa ni korosho bei ya mnadani ni 2700-2800Tsh
 
Back
Top Bottom