Taja vitu muhimu vya kuanza maisha ya gheto

Kwani
Gesii..jiko.
Pressure cooker..
Rice cooker..
Sufuria 4...
Vikombe viwili..
Sahani 4...
Unga...
Sukari..
Chumvi..
Michele...
Mafuta ya kupikia...
Sabuni..
Dishi la kufulia...
Ndoo ya kuogea...
Godoro..
Net..
Shuka 2...
Sub woofer...
Flash..

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwani kasema ana familia?
 
Gesii..jiko.
Pressure cooker..
Rice cooker..
Sufuria 4...
Vikombe viwili..
Sahani 4...
Unga...
Sukari..
Chumvi..
Michele...
Mafuta ya kupikia...
Sabuni..
Dishi la kufulia...
Ndoo ya kuogea...
Godoro..
Net..
Shuka 2...
Sub woofer...
Flash..

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Sasa hapa mbona tayari n vyote πŸ˜‚
 
Godoro lisilo na Kunguni..

Shuka 4, 2 za kutandika 2 za kujifunika

Neti ya kuzuia Mbu waenezao Malaria

Meza ndogo ya Jambo na viti viwili
 
Kimasikini masikini Muhimu godoro mwanangu, ndoo yako ya kuogea na kopo lako, ndo ya maji ya kunywa, vingine mdogo mdogo tu.

Usisahau sabufa mwanangu, sabufa muhimu, wakati unamdinya mtu wasisikie wambea na wakti jirani anadinya upandishe sauti usiteseke. πŸ˜‚
 
Baada ya vyote hivyo.
Achana na mambo ya kunyanduana kama wanavyosema mkuu ..
We focus na mambo yako upo katika hatua ya utafutaji..

Ukijichanganya unaweza jikuta una familia
Wewe upo hapa bila shaka
Miaka 18-25 ni umri wa ndoto kubwa za nia njema na matarajio makubwa (mfano; ndoto za kuwa bosi fulani hivi, higher position, kumiliki mambo makubwa n.k).

Mwalimu wangu pale Njoss aliwahi kusema "" Huyo jamaa mdogo hajawahi kuchoka wala haridhiki""
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom