Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 6,944
- 8,890
Godoro 5 kwa 6 mto shuka mbili 3 condom box 2 ndo mbili kwisha
Kwa kweli hii ni muhimu sanaHatupumui π€£π€£π€£
Itabidi tuanze kuchat kwa voice note
We muhimu sabufa baba
Taja vitu muhimu vya kuanzia maisha ya Getto pamoja na makadirio ya gharama zake.
Kwani kasema ana familia?Gesii..jiko.
Pressure cooker..
Rice cooker..
Sufuria 4...
Vikombe viwili..
Sahani 4...
Unga...
Sukari..
Chumvi..
Michele...
Mafuta ya kupikia...
Sabuni..
Dishi la kufulia...
Ndoo ya kuogea...
Godoro..
Net..
Shuka 2...
Sub woofer...
Flash..
ππππππ
Sasa hapa mbona tayari n vyote πGesii..jiko.
Pressure cooker..
Rice cooker..
Sufuria 4...
Vikombe viwili..
Sahani 4...
Unga...
Sukari..
Chumvi..
Michele...
Mafuta ya kupikia...
Sabuni..
Dishi la kufulia...
Ndoo ya kuogea...
Godoro..
Net..
Shuka 2...
Sub woofer...
Flash..
ππππππ
Flying pan ?? mkuu wewe ni wa Sumbawanga eti?-Godoro na shuka
-Flying pan
-Sufuria ya kusongea ugali
-Jiko dogo la gesi na
-Ndala za kuogea
π π π π π basi gheto liwe selfNa kamamaa pembeni.
Itapendeza,vipi wewe? Kwa kababaa ulianza nae vipi kwa ghetto lake?π π π π π basi gheto liwe self
Wamesema mi ni kidume tuliaaa π π πItapendeza,vipi wewe? Kwa kababaa ulianza nae vipi kwa ghetto lake?
Watu wasisikie vilio vya bibie wakati mwamba anamdinya mtu πWe muhimu sabufa baba
Ukisikia tu the Bluetooth device is ready to pairπ πWatu wasisikie vilio vya bibie wakati mwamba anamdinya mtu π
Dharau hizoWamesema mi ni kidume tuliaaa π π π
Ujue kazi inakaribia kuanza, wapiga chabo maarufu hiyo ni alarm yao kusogea eneo la tukio. πUkisikia tu the Bluetooth device is ready to pairπ π
YaaaniUjue kazi inakaribia kuanza, wapiga chabo maarufu hiyo ni alarm yao kusogea eneo la tukio. π
π π π wataweka wapi nyuso zaoDharau hizo
Waonyeshe zile vitu mashallaaaah mashallllaaah..π€£
Mie yangu sintaiweka popote nitakodoa macho kodooo, kutizama mzigo. πππ€£π π π wataweka wapi nyuso zao