Taja Filamu bora 3 za Kibongo ulizoridhishwa nazo

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,275
6,621
Kwa upande wangu nimeangalia filamu nyingi za kibongo, bahati mbaya nyingi sijaziweka kichwani. Ziko ambazo nimeona Mzimu unapisha magari, ziko ambazo Jambazi anavua viatu na kuvamia ndani ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Zipo tu za kustaajabisha sana lakini kwangu hizi mbili: Fungu la Kukosa na Binti Nusa ni miongoni mwa filamu ambazo nimevutiwa nazo sana.

Riyama Ally ndani ya Fungu la Kukosa mpakaleo ananifanya nimuone kuwa muigizaji bora wa kike wa wakati wote, kwani licha ya kubadilika umbo na umri, bado ameweza kuzitendea haki nafasi anazoshika.
 
Unapaswa kuwa na roho ya kikaidi sana ili uangalie Bongo Movie.

Siku niliangalia kwa bahati mbaya nikashuhudia jini likikodi bodaboda ili kumfukuza mtu. Nashukuru Mungu screen haikuvunjika, ila cha moto ilikiona.
 
Unapaswa kuwa na roho ya kikaidi sana ili uangalie bongo movie...

Siku niliangalia kwa bahati mbaya nikashuhudia jini likikodi bodaboda ili kumfukuza mtu. Nashukuru Mungu screen haikuvunjika, ila cha moto ilikiona
 
Nakwenda kwa Mwanangu,- JB na King majuto (R.I.P)

Devil Kingdom- steven kanumba(R.I.P)

Ndoa yangu- steven kanumba (R.I.P)

Angalizo; sijawahi kutazama filamu za bongo toka kanumba afariki dunia,ni hiyo moja tu ya " nakwenda kwa mwanangu".
 
Nimeangalia filamu nyingi za kibongo, bahati mbaya nyingi sijaziweka kichwani.
Ziko ambazo nimeona Mzimu unapisha magari, ziko ambazo Jambazi anavua viatu
na kuvamia ndani Zipo tu za kustaajabisha sana,

Lakini kwangu hizi mbili, FUNGU LA KUKOSA na BINTI NUSA Ni miongoni mwa Filamu
ambazo nimevutiwa nazo sana. RIYAMA ALLY Ndani ya FUNGU LA KUKOSA mpaka
leo ananifanya nimuone kuwa Muigizaji Bora wa kike wa wakati wote kwani licha ya
kubadilika umbo na umri bado ameweza kuzitendea haki nafasi anazoshika.
hakuna filamu hapo.
 
yale ni maigizo hayajafikia kuwa muvi.Muvi inareflect reality kama muvi za wenzetu ila kwenye bongo muvie mfano tazama askari wake, hamna askari wa namna ile hapa bongo kama wa kwenye bongo muvie,kituo cha polisi cha kwenye bongo muvie hakikushawishi mtazamaji uamini kile ni kituo cha polisi kwenye real life tujavijua vituo vya polisi vilivyo.mtu kama uwoya anaigiza kama askari,askari gani ana miwanja usoni na kalegealegea.Halafu muvi zao zingine wanazipa majina ya kingereza ya kuvutia huku subtitles za kingereza zikiwa ni uharo
 
Pia Best Wife ya mtunisi na Riyama ni bonge moja la movie.
Moses.
Best wife.
Off side.
Fungu la kukosa.
 
Ila kwa bongo movie mi naona JB movie zake nyingi zina content nzuri na zinaburudisha,movie zingine masihara mengi mno
Nakwenda kwa mwanangu,- JB na King majuto (R.I.P)

Devil kingdom- steven kanumba(R.I.P)

Ndoa yangu- steven kanumba (R.I.P)

Angalizo; sijawahi kutazama filamu za bongo toka kanumba afariki dunia,ni hiyo moja tu ya " nakwenda kwa mwanangu".
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom