Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 9,077
- 15,836
Ice Cream-Noorah beat ya marehem Roy
Kimya Kimya-jmo
She Got Gwan-ngwea
Latifa-Mb dog
Ice cream ya ukweli sana. Enzi zile umpate mdada anayejua kukatika daaah disco oyeeee
Ice Cream-Noorah beat ya marehem Roy
Kimya Kimya-jmo
She Got Gwan-ngwea
Latifa-Mb dog
Daaaah hii umenikumbusha mbali sana mkuu sjui jamaa kapotelea wapi na yule dada waliimba nae anaitwa sjui nani mi nilikua namwita Fatma...jina lake lilikua linanishinda kutamka
Ow nilisahau hiiNini mnataka madhee - Pig black
Jumba bovu - Mc D
Tanzanite - Singeli
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeniwahi hiyo beat noma ...
Hapa penyeweeMimi naikubali hii
Pig Black ft Ay - Mtoto wa mjini