Taja beats za nyimbo kali zaidi kuwahi kutengenezwa Tanzania

Yeah anaitwa fatuma nimdogo wake hard mad ... hiyo ngoma ilikuwa ni club bang moja kuntu sana ... zig dee sijui alipotelea wapi
Way Back mzee HardMad na goma lake la Tamala ilikuwa ikipigwa club ni shida sana, mkono wa Mika Mwamba kama sikosei
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom