Tairi za gari ndogo 175/70R14

Tairi za gari ndogo 175/70R14

tax services

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
403
Reaction score
332
Tairi safi kabisa ajitumika hapa Bongo gari imefika bandarin ikavuliwa zote nne
Bei 140,000 kwa zote
Call 0673263071 zipo posta mpyaa
IMG_20190115_141841.jpeg
IMG_20190115_153140.jpeg
IMG_20190115_153156.jpeg
IMG_20190115_141823.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee hizo ni hatari saaana.
Hiyo picha ni ya mfano mkuu.. Mdau kajitolea kumwelimisha mtoa mada jinsi ya kupata mwaka tairi ilipotengenezwa. Maana mtoa mada alikuwa hajui ila sasa amejua na tairi zimeshauzwa saivi kapandishia ist.

Shukran sana mdau.
 
Nimekusoma mkuu,nilidhani ndio picha zenyewe hizo.
 
Back
Top Bottom