Tairi confortable zaidi

Tairi confortable zaidi

1. Subaru forester, 2005
2. Hapa dsm ila pia rough road
3. Mara kwa mara hapa dsm ila inaenda shambani.
4. Ndiyo gari ya mishe mishe pia ndio ya safari ya familia
5. Kiukweli nikiwa na mizigo ili mradi inaingia huwa naitumia hii hii. Na kwa kweli buti yake ni kubwa.
6. Hapana sijawahi kuitumia kuvuta trela

Kuna mdau keshakujibu hapa.

https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=14200139

Kama unataka tairi pana kwa ajili ya show nzuri na stability barabarani recomended size ni 225/60/R16
Au 225/55/R16 ila hii inashusha gari kidogo kama unatumia rough road itakupa shida kidogo.

Pia size 235/50/R17 ni tairi pana kidogo recomended na Subaru wenyewe.

Zingatia ukitumia tairi ya size 225 au 235 lazima rim yako iwe size 7.5J.

Kwa kuwa Forester ni gari yenye nguvu (torque) unatakiwa kununua brand nzuri kwa dealer kama vile Kumho, Good year, Michelin, Pirreli. Etc.
Achana na mchina wa bei nafuu utakula hasara ndani ya miezi 6.
 
Habari wakuu.
Nina tatizwa na uchaguzi wa tairi katika gari langu.. Kwanza nina rim size mbili.. 16 na 17. Nataka kununua tairi mpya na ndipo mchanganyo unapokuja.. Ipi tairi itanipa confortability nzuri kwenye barabara smooth na rough kati ya 215/60R16 au 215/55R17?
Eti ni kweli tairi nyembamba mfano 225/50R17 inaafadhali katika usalama kuliko pana?Asanteni sana
kuna kitu kinaitwa rule of thumb katika tires kuwa jinsi unavyoongeza 0.5'' inch inabidi pia uongeze 0.2'' ya tires yako
so 0.5 ya rim 0.4 ya tire otherwise kuna vitu ambavyo gari yako itakuwa tofauti mfano speed,confortability,na braking
 
Kuna mdau keshakujibu hapa.

Tairi confortable zaidi

Kama unataka tairi pana kwa ajili ya show nzuri na stability barabarani recomended size ni 225/60/R16
Au 225/55/R16 ila hii inashusha gari kidogo kama unatumia rough road itakupa shida kidogo.

Pia size 235/50/R17 ni tairi pana kidogo recomended na Subaru wenyewe.

Zingatia ukitumia tairi ya size 225 au 235 lazima rim yako iwe size 7.5J.

Kwa kuwa Forester ni gari yenye nguvu (torque) unatakiwa kununua brand nzuri kwa dealer kama vile Kumho, Good year, Michelin, Pirreli. Etc.
Achana na mchina wa bei nafuu utakula hasara ndani ya miezi 6.

Asante mkuu. Ila nisaidie kidogo rim size 7.5j naijuaje mkuu
 
Asante mkuu. Ila nisaidie kidogo rim size 7.5j naijuaje mkuu

Zinakuwa zimeandikwa kwenye mzunguko wake.
Maana rim zote zinazobeba tairi pana ni alloy au sport. Ukikosea upana wa rim tairi inaharibika.

Ukipata utata wa kuzisoma waulize tu jamaa wauza pancha watakusome size fasta.
 
Back
Top Bottom