Habari wakuu.
Nina tatizwa na uchaguzi wa tairi katika gari langu.. Kwanza nina rim size mbili.. 16 na 17. Nataka kununua tairi mpya na ndipo mchanganyo unapokuja.. Ipi tairi itanipa confortability nzuri kwenye barabara smooth na rough kati ya 215/60R16 au 215/55R17?
Eti ni kweli tairi nyembamba mfano 225/50R17 inaafadhali katika usalama kuliko pana?Asanteni sana