Taifa staz vs Rwanda: Matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa staz vs Rwanda: Matokeo

Discussion in 'Sports' started by Godwine, Jun 6, 2010.

 1. G

  Godwine JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  yoyote mwenye habari za matokeo ya tanzania vs rwanda naomba kujua
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ushindi wa Taifa Stars dhidi ya Rwanda utatia chachu na ladha mechi ya Brazil kesho... Wenye matokeo tupeni maana mechi itakuwa inakaribia kwisha maana imeaanza saa 10 na nusu jioni kwa saa za Bongo
   
 3. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kumbe taifa stars wanacheza na rwanda leo, sasa watapumzika saa ngapi kwaajili ya brazil?
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Ushindi ni muhimu sana kwetu waTZ. Tukifungwa na Rwanda itakuwa noma kishenzi. Maana hawa jamaa wanatajitahidi kutangaza superority EA ktk kila secta kuanzia science & technology hadi michezo.
   
 5. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Bongo bwana, mechi iko hapo rwanda tu... lakini hakuna hata chombo cha habari kinachorusha matangazo!! na mechi muhimu kama hiii!!
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nashangaa umuhimu mkubwa umewekwa kwenye mechi ya kesho na Brazil kuliko hiyoi ya CHAN, na watatufunga tu kwa ajili ya Brazil
   
 7. P

  Paul S.S Verified User

  #7
  Jun 6, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  hii aibu, hakuna anayeripoti
   
 8. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ina maana hakuna ajuaye haya matokeo kweli?
   
 9. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  No priorities in Bongo
   
 10. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mechi imeisha hivi punde tumefungwa 1-0 baada ya bao lililofungwa na kiungo wa Rwanda Albert dakika ya 36 alipopiga shuti lililombabatiza beki wa Stars na kujaa wavuni. Kwa hiyo Rwanda imefuzu CHAN 2011 kule Sudan
   
 11. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #11
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  ukikuta kimya kingi namna hii ujue tumelimwa, masikini sisi!
   
 12. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tumefungwa 1-0 na kutolewa kwa jumla ya bao 2-0. Bao la Rwanda limefungwa dk. Ya 36 na kiungo Albert haya tena tusubiri mechi ya Brazil
   
 13. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  So sad..............Tumetolewa!!!!!!!!!!!!!...................Kisa?,mechi ya kirafiki na Brazil..........Tanzania bana
   
 14. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Aasante kwa taarifa mkuu......Sahihisho kidoogo...Ni kwamba aggregate ni 2-1........Mechi ya kwanza tulitoka sare ya 1-1
   
 15. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tumefungwa 1-0 na kutolewa kwa jumla ya bao 2-1. Bao la Rwanda limefungwa dk. Ya 36 na kiungo Albert haya tena tusubiri mechi ya Brazil

  Uganda nao wamefuzu baada ya kufungwa na Kenya mjini Nairobi 2-1 lakini wamepita kwa sheria ya bao la ugenini kwani mechi ya awali walishinda 1-0 mjini Kampala
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mhh..hivi mlikuwaga na matumaini yeyote?
   
 17. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini tunacheza na Brazil? Au ni biashara tu?
   
 18. consigliori

  consigliori JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watu wakisema TFF bado haijapata viongozi, hatuamini. Wewe fikiria, kwa wiki kadhaa sasa watu wanaiongelea mechi ya brazil tu badala ya kuongelea mechi hii muhimu. Sitashangaa nikisikia wachezaji hawakuwa ma morali yoyote, wao wanawaza kucheza na brazil.
   
 19. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ... Nadhani TFF hawajui kabisa kitu kinachoitwa saikoloji ya mchezaji. Mechi ya Brazil lazima imewafanya wengi wao kucheza kwa tahadhari ili waiumie wakakosa kucheza kwenye mechi against Brazil ambapo wameishaambiwa vituovya TV 160 vitaonyesha pambano hilo Dunia nzima!
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  Jun 6, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280

  mwaka wa uchaguzi huu kaka !!!!...but ukiacha hilo kama taifa ni vema kujitangaza.....tena nashauri tuweke watu pale wavizie timu zitakazokuwa zinatolewa zifanye stop over Tanzania kujiliwaza kabla ya kurudi makwao...kukabiliana na barua za kufukuzwa kazi kwa makocha wao!!!!
   
Loading...