Grader
JF-Expert Member
- Feb 23, 2009
- 445
- 65
Jamani sijawahi kuona timu yetu ya Tanzania(Taifa stars) kuonyesha kiwango kibovu kama hiki. Hivi hatuna wachezaji wazuri au kocha kukariri wachezaji. Ukweli Swaziland(FIFA raking 175) kutuchezea mpira wanavyotaka. Hivyi hakuna wachezaji wa kiungo mpaka kumchezesha Erasto Nyoni na washambuliaji Bocco anarukaruka. Tunadhalilishwa kwanini tulikubali kushiriki Cosafa