Taifa Stars yaingia kambini kujiandaa na mchezo dhidi ya Cape Verde wa kufuzu michuano ya AFCON mwakani

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” inaanza rasmi leo kujiandaa na mchezo wa kuitafuta tiketi ya kucheza Fainali za Africa mwakani dhidi ya Cape Verde.

Kambi hiyo inayoanza leo itaanza na wachezaji wanaocheza ndani kabla ya kuungana na wale wanaocheza nje ya Tanzania.

Mazoezi ya Taifa Stars inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti Premium Lager yanatarajiwa kuanza kesho asubuhi kwenye Uwanja wa JKM Park,MNAZI Mmoja.

Maandalizi yatakuwa chini ya Kocha Mkuu Emmanuel Amunike,Wasaidizi Hemed Morocco na Emeka Amadi.

Madaktari Dr Richard Yomba na Gilbert Kigadya

Mchezo wa kwanza utachezwa Oktoba 12,2018 kwenye mji wa Praia huko Cape Verde na mchezo wa marudiano utachezwa Oktoba 16,2018 Uwanja wa Taifa.

Kikosi kilichoitwa

Aishi Manula (Simba), Salum Kimenya(Tz Prisons), Frank Domayo(Azam FC), Salum Kihimbwa(Mtibwa), Kelvin Sabato(Mtibwa), David Mwantika(Azam FC), Ally Abdulkarim Mtoni(Lipuli), Mohamed Abdulrahiman (JKT Tanzania ), Beno Kakolanya (Young Africans) , Hassan Kessy (Nkana,Zambia) na Gadiel Michael (Young Africans)

Wengine ni Abdi Banda (Baroka,Afrika Kusini), Aggrey Morris (Azam FC), Andrew Vicent (Young Africans ), Himid Mao (Petrojet,Misri), Mudathir Yahya (Azam FC), Simon Msuva (Al Jadida,Morocco), Rashid Mandawa (BDF,Botswana), Farid Mussa (Tenerife,Hispania), Mbwana Samatta (KRC Genk,Belgium) na Thomas Ulimwengu (Al Hilal,Sudan)

Pia wapo Shabani Chilunda (Tenerife,Hispania), Yahya zaydi(Azam FC), Kelvin Yondan (Young Africans), Paul Ngalema (Lipuli), Jonas Mkude (Simba), John Boko (Simba), Shomari Kapombe (Simba), Feisal Salum (Young Africans) na Abdallah Kheri (Azam FC)

1.jpg
 
Tunawatakia maandalizi mema yenye tija.

View attachment 884491
 
Hongera sana Azam inastahili kua na wachezaji wengi timu ya taifa
 
Back
Top Bottom