Taifa Stars warudi tupeleke jeshi!

Taifa Stars warudi tupeleke jeshi!

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
14,395
Reaction score
13,273
Hakuna haja ya kupoteza muda Taifa Stars warudi tupeleke jeshi la wananchi kule maana bila hivyo hatuta ambulia kitu.

Rais alisema itafika wakati atatumia jeshi tu ili wachezaji wa timu ya taifa wawe wanalelewa jeshini na kuishi jeshini na kazi yao iwe kucheza mpira tu.

Wakati umefika sasa tupeleke jeshi
 
Mbona Jkt Ruvu, Ruvu Shooting huwa zinapigwa tu japo ni za jeshi.
 
Hakuna haja ya kupoteza muda Taifa Stars warudi tupeleke jeshi la wananchi kule maana bila hivyo hatuta ambulia kitu.

Rais alisema itafika wakati atatumia jeshi tu ili wachezaji wa timu ya taifa wawe wanalelewa jeshini na kuishi jeshini na kazi yao iwe kucheza mpira tu.

Wakati umefika sasa tupeleke jeshi
Mkuu unataka kuleta mambo ya Koro-Show eee!! ha ha ha
 
Back
Top Bottom