Taifa Stars wapokelewa leo kutoka Morocco, Fedha za mapokezi zimetoka wapi?

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Nimeshuhudia mapokezi ya leo ya Taifa Stars. Kwa maandalizi na ukubwa wa tukio, ni kana kwamba wamechukua ubingwa wa AFCON, ilhali walishia hatua ya 16 bora, na hata kufika hapo walipata nafasi kupitia best losers.

Sasa swali linabaki: gharama zote za maandalizi haya zimetoka kwenye bajeti ipi? Au ni fedha za nani? Kwa sababu kuna watu wamelipwa posho, na pia kuna taarifa za matumizi ya ndege iliyowarejesha kutoka Morocco.

Haya ni maoni yangu binafsi; kila mmoja ajitathmini kwa mtazamo wake.
============
Muonekano wa Basi litakalotumika kuwabeba wachezaji wa timu ya Taifa Stars baada ya kuwasili kutoka Morocco ambapo ilikuwa ikishiriki michuano ya Kimataifa ya Afcon 2026.

Pesa za FORD .
 
Hii nchi kwa sasa haina tofauti na kuku aliyekatwa kichwa.
 
Nchi haina standard hii mkuu, yaani timu haijashinda mechi hata moja na wala haikufunga goli zaidi ya mbili leo unawata mashujaa? Ama kweli wajinga ndio waliwao.
 
Back
Top Bottom