Tusiwapongeze bhana!! Hapo ndio watajibwetesha mkuu....wamecheza nyumbani wana-droo tunawapongeza?? Hapana wanapaswa kupewa adhabu tena wapelekwe kwenye kambi ya kijeshi wapewe msoto wa wiki mbili wakimaliza wakapangiwa mechi ingine wakifika uwanjani wataua mtu.
Hayo ni maoni yangu ingawa wadau mnaweza kudhani ni ya ukatili ila ni ukweli mtupu.