Taifa stars vs Zimbabwe vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Taifa stars vs Zimbabwe vipi?

Discussion in 'Sports' started by msabato masalia, Feb 11, 2009.

 1. m

  msabato masalia Senior Member

  #1
  Feb 11, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Matokeo yako wapi,au tumelambwawaungwana mkakaa kimya?
   
 2. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,437
  Likes Received: 1,018
  Trophy Points: 280
  Kutoka michuzi blog spot:  [​IMG]

  "JK akiwa na makamu wa rais wa pili wa tff ramadhan nasibu akiangalia mpambano wa kirafiki wa kimataifa kati ya taifa stars na zimbabwe muda huu hapa neshno. mpira umeisha na mabao ni 0-0. stars wamelisakata ile mbala ila inabidi safu ya umaliziaji ijifue zaidi."
   
Loading...