Mpira unachezwa katika jiji liitwalo Matola na uwanja wenyewe unaitwa Machava. Capacity ya Uwanja ni 45,000 peoples.............(msije mkamalizia ki - cdm jamanii....)
Ni uwanja mpya ambao ulizinduliwa kwa mechi ya kirafiki na timu hizi zinazocheza leo, Stars ilifungwa kwa taaabu goli 1. Leo sijui itakuwaje, maana hawa the mambas wana mpira wa kasi sana.