Mkuu nashukuru kwa kuliona hilo, hawa washabiki wa Ndala wanafiki sana kama wazee wao kina Yusuf Mzimba na Ibrahim Akilimali, juzi hapa stars imeshinda ikaitwa timu ya Taifa leo imetolewa inaitwa Simba wananiudhi kweli, ndo maana walipigwa mkono.
dah! kisicho liziki hakiliki: vijana wamejitahidi; uzembe ulifanyika ktk mechi ya awali.
kweli kaka tena hii ndo team bora tangu 2000 hafa wanajua kucheza.
Watu wazima gani ulitaka waitwe, wameshindwa kuisaidia timu yao halafu unataka waitwe timu ya Taifa acha wacheze chandimu na kocha wao Maximo pale Kaunda halafu ligi kuu ikianza tuwapige zingine tano.hiloo ni li simba stars halina mwelekeo,. Weka watu wazima wapige kazi sio kutujazia wavuta bang ambao super coach maximo aliwakataa we unawaludisha
Mkuu wewe malizia wikend yako vizuri na kama unakunywa kunywa kwa kiuajibikaji tuache sisi na timu yetu ambayo wewe unaiita Simba, ikifungwa yetu ikishinda yetu.Wikiend nimeimaliza safi kabisa, ko mtaludi lini simba stars
Mkuu wewe malizia wikend yako vizuri na kama unakunywa kunywa kwa kiuajibikaji tuache sisi na timu yetu ambayo wewe unaiita Simba, ikifungwa yetu ikishinda yetu.
Wikiend nimeimaliza safi kabisa, ko mtaludi lini simba stars