Taifa stars Vs Malawi

Taifa stars Vs Malawi

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,928
Azam 2 wapo live wanaonesha. Dakika ya 34 hakuna timu iliyoliona lango la mwenzake.

Updates:

H.T: taifa stars 0- 0 malawi

F.T: 0-0
 
Kiujumla mpira umetulia na timu zote zinacheza vizuri. Stars wanakosa goli hapa baada ya mpira kugonga mlingoti.
 
Tupe line up plz
Nilichelewa kupata line up, lakini naona kuna Dida, Kapombe shomari, Oscar Joshua, Cannavaro, Singano, Msuva Simoni, Frank Domayo, Aggrey Moris, John Bocco. Amri Kiemba
 
Malawi wametukosa goli hapa baada ya mpira kugonga mlingoti wa juu.
 
Dakika ya 64 matokeo bado 0-0.
 
Bokooooooo dah......mtambaa panya unaokoa...

C.c: ndetichia
 
Last edited by a moderator:
Kiujumla timu yetu bado sana
 
Aggrey Morris anapiga toka katikati ya uwanja na mpira unapita juu kidogo ya lango.
 
Erasto nyoni anatoka na anaingia Himid Mao dakika ya 70:
 
Dakika ya 76 bado milango migumu.
 
tunaitaji maandalizi ya muda murefu na pia hata wachezaji wanatakiwa kufanya sana mazoezi..
Kweli kabisa hapa hakuna ubunifu kabisa. Vijana wanatakiwa wakae pamoja kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom