fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
3 zina maana kubwa sana.
bora ingebaki isiyoboreshwa labda tungefungwa 1Hii ndo stars iliyoboreshwa
Rais Jamal Malinzi sijui hii idea ya KUOKOTA wachezaji mitaani then kuwaleta eti ndiyo wawe wachezaji wa team ya Taifa sijui kaipata wapi maana haipo duniani hiyo sera!
Kama issue ni wachezaji wenye umri mdogo wapo wengi tu tulio waona tayari league kuu,kuna yule kijana wa Azam Fahad na mwenzake Kimwaga hao wale hawafikiriwi kuitwa japokuwa wanasumbua sana league kuu na umri wao mdogo!
Unatuletea hao wa Tukuyu sijui ndiyo wafanye nn sasa!Wakili Mtingojela na kamati yake kumbe hawakukosea kukata jina la huyu jamaa!Alikuwa HANA sera za kuwa ataifanyia nn TZ kwenye soka,SERA anaanza kuzitunga akiwa yupo madarakani!Miaka mingine 4 ya maumivu soka ya TZ
Anacho fanya ni majaribio ya mfumo.
Mkuu, timu ya taifa nzuri ni ile inayakuwa na wachezaji toka timu mbali mbali za nchi. Hii inatokana na mfumo mzuri wa ligi unaoleta ushindani kwa timu zote ziwe za ligi kuu ama ligi daraja la kwanza.Rais Jamal Malinzi sijui hii idea ya KUOKOTA wachezaji mitaani then kuwaleta eti ndiyo wawe wachezaji wa team ya Taifa sijui kaipata wapi maana haipo duniani hiyo sera!
Kama issue ni wachezaji wenye umri mdogo wapo wengi tu tulio waona tayari league kuu,kuna yule kijana wa Azam Fahad na mwenzake Kimwaga hao wale hawafikiriwi kuitwa japokuwa wanasumbua sana league kuu na umri wao mdogo!
Unatuletea hao wa Tukuyu sijui ndiyo wafanye nn sasa!Wakili Mtingojela na kamati yake kumbe hawakukosea kukata jina la huyu jamaa!Alikuwa HANA sera za kuwa ataifanyia nn TZ kwenye soka,SERA anaanza kuzitunga akiwa yupo madarakani!Miaka mingine 4 ya maumivu soka ya TZ
halafu kuna yule fullbek wa kushoto ndo alikuwa kama anacheza chandimu.
Anacho fanya ni majaribio ya mfumo.