Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wadau wa michezo leo kulikoni? Au hamjaenda uwanjani kama mimi??
Tanzania tushakula tatu bila Jr
goli moja kwa Tanganyika,jingine Zanzibar na la mwisho Tanga+zanzibar(Tanzania)
si nilisikia imechaguliwa ya maboreshoTimu ivunjwe..ichaguliwe upya
we bwana wee kwa hyo zile goli tatu zina maana kubwa au sio
Tanzania tushakula tatu bila Jr
goli tatu = serikali tatu
si nilisikia imechaguliwa ya maboresho
Hii ndio ile timu ya Tukuyu??
jamal malinzi = jakaya mrisho kikwete = david moyes! tehe tehe tehe!Rais Jamal Malinzi sijui hii idea ya KUOKOTA wachezaji mitaani then kuwaleta eti ndiyo wawe wachezaji wa team ya Taifa sijui kaipata wapi maana haipo duniani hiyo sera!
Kama issue ni wachezaji wenye umri mdogo wapo wengi tu tulio waona tayari league kuu,kuna yule kijana wa Azam Fahad na mwenzake Kimwaga hao wale hawafikiriwi kuitwa japokuwa wanasumbua sana league kuu na umri wao mdogo!
Unatuletea hao wa Tukuyu sijui ndiyo wafanye nn sasa!Wakili Mtingojela na kamati yake kumbe hawakukosea kukata jina la huyu jamaa!Alikuwa HANA sera za kuwa ataifanyia nn TZ kwenye soka,SERA anaanza kuzitunga akiwa yupo madarakani!Miaka mingine 4 ya maumivu soka ya TZ
si nilisikia imechaguliwa ya maboresho