Hawa wachezaji wa starz wanafanya mambo ya ki-unprofessional playersHv hii tabia ya kupoteza muda kwa timu zetu itaisha lini hata michezo km ya kirafiki(rejea kipa wa taifa stars leo dk za lala salama)
Hao Benin watakuwa wanaumwa Ebola, ndio maana choka mbaya.Wakuu mliopo uwanjani hivi stars wanacheza vizuri au tumekutana na wachovu??
mkuu huenda ukawa ni mwanzo mpya?Tumeondoa nuksi...
Ya kweli haya..!!! unajua ng'ombe wa masikini hazai..., bila shaka wamekuja na Ebola hawa...
mbwa asiyekamata kitoeo leo amerudi nyumbani na digidigi aka ngolombwe
Taifa Stars 3:Benin 0
Goli la kwanza Cannavaro
Pili ni Kiemba
Tatu ni Uncle Ngasa
Sasa ni dk 55
pongezi kwao , ila cku wakifungwa usiwe msaliti na usisahau kuja kupost huku jfTaifa Stars 3:Benin 0
Goli la kwanza Cannavaro
Pili ni Kiemba
Tatu ni Uncle Ngasa
Sasa ni dk 55
Kinachoshangaza huyu mbwa siku wakifika wageni muhimu nyumban kwao ukamtuma aende kutafuta kitoweo harudi hata na panya mmoja, leo hakuna wagen muhimu yeye analeta digidigi.mbwa asiyekamata kitoeo leo amerudi nyumbani na digidigi aka ngolombwe
Jamaa walikuwa wanaogopa injury hivo walikuwa hawajitumi kama wanachezea timu yao ya taifa, hawa wachezaji wa kiafrika wamekosa uzalendo kwa nchi zao, hawa wachezaji aina ya akina samatta wasio na uzalendo kwa mataifa yao wapo wengi sana.Hivi wale wachezaji wa Benin wanaochezahuo England EPL kina Sessingno hawakufurukuta kurudisha?
Jamaa walikuwa wanaogopa injury hivo walikuwa hawajitumi kama wanachezea timu yao ya taifa, hawa wachezaji wa kiafrika wamekosa uzalendo kwa nchi zao, hawa wachezaji aina ya akina samatta wasio na uzalendo kwa mataifa yao wapo wengi sana.