Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

Mpira unaanza sasa, Mwadini Ally langoni.
 
Pyeeeeeeeeeeeeeee! game linaanza kwa watanzania kusukuma mpira kwenda upande wa Benin.
 
Kona ya kwanza kwa stars. Wameanza kwa kasi.
 
Kona inapigwa kuelekea upande wa Benin
 
Noorj kaiongoza stars katika mechi 9, kashinda 2, sare 3 na kufungwa 3....
 
Ulimwengu anakosa goli la wazi kabisa hapa dakika ya 5....
 
Ulimwengu anakosa goli ya waz kabisa
 
Amri Kiemba,,,,,,,,,,kajaribu.
 
Wanaanza kutushambulia lakini inaokolewa.
 
Dakika ya 10 hakuna timu iliyoona lango la mwenzake.
 
Canavaro anakwamisha mpira wavuni dk 16
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…